HabariMilele FmSwahili

Rais amteua balozi Kimani kuongoza vita dhidi ya itikadi kali za kidini nchini

Rais Uhuru Kenyatta amemteua balozi Martin Kimani kuongoza vita dhidi ya itikadi kali za kidini nchini. Rais amechukuwa hatua hiyo baada ya kubuni shirika la kitaifa la kukabiliana na vitendo hivyo. Balozi Kimani ambaye kwa sasa ni mkuu wa kituo cha kukabiliana na ugaidi nchini ataongoza shirika hili katika kanda hii na ngambo.

Show More

Related Articles