HabariMilele FmSwahili

Vijana wa URP Narok walalamikia kunyimwa nafasi kuhudhuria uzinduzi wa JUBILEE

vijana 400 wanaounga mkono chama cha urp eneo la narok kusini wamelalamikia kunyimwa nafasi ya kuhudhuria uzinduzi wa jubilee.wakiongozwa na esther kipyator wamesema licha ya kuunga mkono urp kwamuda mrefu, hakuna yeyote kati yao aliyeorodheshwa.kwenye mkutano uliofanyika katika eneo la sogoo, kipyator amelalamikiakile alichokitaja kama kutokuweko kwa usawa chamani humo.vijana hao sasa wanashinikiza kushughulikiwa kwa tatizo hilo kwadharura huku wakitisha kutafakari upya msimamo wao katika kipya cha jubilee.

Show More

Related Articles