HabariMilele FmSwahili

Wakulima wa Majani chai kugoma kwa sababu ya malipo duni kaunti ya Kisii

Wakulima wa kuchuma majani chai wanaowasilisha majani chai katika kiwanda cha Kiamukama kaunti ya Kisii kugoma kwa madai ya kupata malipo duni. Wakulima hao wanadai kulaghaiwa kuhusu malipo yao ya kila mwaka na wakurugenzi wa kampuni hii pamoja na shirika la KTDA.Wakiongozwa na Josephat Nyansikera wanasema ilani yao ya mgomo inaanza leo hadi malalamishi yao yatatuliwe.

Show More

Related Articles