HabariMilele FmSwahili

Ndege za kusafirisha Miraa ziko huru kutua Puntland Somali

Mamlaka ya Puntaland imesema ndege za kusafirisha miraa kutoka humu nchini ziko huru kutua katika uwanja wake wa ndege. Haya yanajiri siku moja baada ya Somalia kutangaza kuwa ndege hizo zimepigwa marufuku nchini humo kwa muda.

Show More

Related Articles