HabariMilele FmSwahili

Watu 15 kutoka shirika la kutafutia watu kazi nje ya nchi washikwa na polisi Kitengela

Polisi huko kitengela wamewatia mbaroni watu 15 kutoka shirika moja la kuwasaidia watu kupata kazi nje ya taifa.Shirika hilo kwa jina East Afrika International Kenya linalodaiwa kuwahadaa vijana wakitakiwa kulipa hadi shilingi elfu 5 kupata fomu za kujaza ajira wanayotaka.Polisi wanasema wamewazuilia 15 hao huku uchunguzi ukianzishwa kubaini uhalali wa shirika hilo.

Show More

Related Articles