HabariMilele FmSwahili

Magavana wanataka NHIF kusimamia ufadhili wa kinamama wanapojifungua

Magavana wanataka ufadhili wa mradi wa kujifungua kinamama kuanza kusimamiwa na hazina ya malipo ya matibabu NHIF.Magavana hao wanasema kusimamia na hazina hiyo kutarahisisha kinamama kupata huduma hiyo upesi.Anasema hazina hiyo ya matibabu inafungamana na kujifungua hivyo kuwezesha kinamama kutohangaika wakati wa kujifungua

Show More

Related Articles