HabariMilele FmSwahili

Mwanaume anayeshukiwa kumuua mkewe akamatwa Meru

Polisi huko Lare, Meru wanamzuilia mwanamme mmoja kwa tuhuma za kumuwa mkewe baada ya mzozo wa kinyumbani.Majirani wanasema wawili hao wamekuwa na mazoea ya kubishana kila mara.OCPD wa Igembe kaskazini Kimani Gitau anasema jamaa huyo aligadhabishwa na madai kwamba mkewe alikuwa na mpango wa kando.

Show More

Related Articles