HabariMilele FmSwahili

Watu 4 wanasakwa baaya ya boti kuzama kisiwa cha Chale,Kwale

Zoezi la kuwasaka watu wanne waliotoweka baada ya boti lao kuzama katika kisiwa cha Chale kaunti ya Kwale inaendelea. Kwa mujibu wa shirika la msalaba mwekundu watu 16 walikuwa katika boti hiyo ilipozama jana. 12 kati yao wameokolewa

Show More

Related Articles