HabariMilele FmSwahili

Moto wateketeza bweni la shule ya upili ya St Angela Meru

Moto mkubwa umeteketeza na kusababisha uharibifu katika bweni la shule ya upili ya St Angela Nguthiru kaunti ya Meru. Moto huo umezuka saa 11 asubuhi wakati wanafunzi walikuwa madarasani kwa ajili ya masomo ya asubuhi. hakuna aliyejeruhiwa katika kisa hiki.

Show More

Related Articles