HabariMilele FmSwahili

Kaimenyi asisitiza ubora wa kushirikiana katika tume ya ardhi nchini

Asilimia 90 ya hati miliki za ardhi eneo la Pwani badi hazijachukuliwa.Akizungumza baada ya kuzuru afisi za ardhi eneo hilo, waziri Jacob Kaimenyi amelalama hali hiyo imechangiwa na madai ya wanasiasa kwamba hati hizo si halali.Anasema mizozo ya ardhi sawa na uskwota itakabiliwa iwapo wadau wote watashirikiana.
Kuhusu wale ambao ardhi yao imetwaliwa na serikali kwa maendeleo, kaimenyi amesema watapokea fidia ya fedha na ardhi mbadala

Show More

Related Articles