HabariMilele FmSwahili

Seneta Orengo atoa wito kwa kina mama kuwania nyadhifa za kisiasa

Wito umetolewa kwa akina mama kujitokeza kwa wingi na kuwania nyadhifa za kisiasa.Seneta wa Siaya James Orengo amesema licha ya kutopasishwa kwa sheria ya uwakilishi jinsia kuna haja ya akina mama kuhamasishwa ili kushindana na wenzao wa kiume katika uchaguzi mkuu ujao.

Show More

Related Articles