HabariMilele FmSwahili

Washukiwa wawili wa kuiba bunduki wanazuiliwa na polisi kaunti ya Kericho

Polisi huko Kericho wanawazuilia washukiwa wawili wanaodaiwa kuvunja nyumba ya afisa wa misitu na kuiba bunduki aina ya MC 4 eneo la Kipkelion mashariki ijuma iliyopita.Naibu kamishna Wilson Kimaiyo anasema washukiwa walikamatwa eneo la tendeno na wakawaelekeza polisi hadi walikokuwa wameficha silaha hiyo.Wawili hao watafikishwa mahakamani punde uchunguzi utakapokamilika.

Show More

Related Articles