HabariMilele FmSwahili

Zaidi ya wanafunzi 1000 wametumwa nyumbani Kisumu

Zaidi ya wanafunzi 1000 kutoka shule ya upili ya Nyamagwa kaunti ya Kisumu wametumwa nyumbani baada yao kuhusishwa na moto ulioteketeza mabweni mawili ya shule hiyo. Kwa mujibu wa mwenyekiti wa muungano wa wakuu wa shule kaunti ya Kisumu Jairus Onhoke, uchunguzi umebaini kwamba waafunzi walihusika katika moto huo ulioteketeza mali ya mamilioniya fedha. Hata hivyo hakuna aliyefariki au kujeruhiwa katika msaka huo wa usiku wa kuamkia leo.

Show More

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published.

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker