Entertainment and LifestylePeople Daily

#tribe43: Swagga balaa

Victor Matara

Victor Matara ni fan wetu wa Tribe 43 but kwa  mneti raia humuita Victor Mateso Tupu. Ni mboyz amekula mvua 19 na ni stude wa Kenyatta University.

Apart from kukula mbuku, utampata kama radio presenter K.U FM, akichapa show inajiita Campus Icon.

Alichapia Tribe 43 alianza journey yake kwa media akiwa high school side za huko Homa bay. At other times ni mjanjez wa Social Media Strategy ambapo anakulia digital marketing, hustle yenye inamlipia bills zake akiwa system.

Already ako part of Mseto East Africa crew kwenye anafanya blogging ya entertainment news. Big up!

Show More

Related Articles