HabariMilele FmSwahili

Nyanza: Watoto wa kiume kuwapasha tohara punde tu wanapozaliwa

Serikali kupitia wizara ya afya inalenga kuzindua mpango wa kuwapasha tohara watoto wa kiume punde tu wanapozaliwa katika eneo la Nyanza ili kuimarisha vita dhidi ya maambukizi ya HIV.Mkurugenzi wa afya kaunti ya Kisumu dkt Ojwang Lusi anasema utafiti unaonyesha kupashwa tohara kunapunguza maambukizi hayo kwa asilimia 60.

Show More

Related Articles