HabariMilele FmSwahili

Watu 2 wafikishwa mahakamani kwa kosa la kulangua dawa za kulevywa

Raia wawili wa kigeni wamefikishwa katika mahakama ya kibera kwa kosa la kulangua dawa za kulevywa zenye thamani ya shilingi milioni 29.Wakiwa mbele ya hakimu Lucas Onyina wawili hao Ciza Annie Butoyi raia wa Uholanzi na Justin Camara raia wa Guinea wamekana mashtaka yanayowakabili. Mahakama hiyo inatarajiwa kutoa uamuzi kesho iwapo wawili hao wataachiliwa huru kwa dhamana.

Show More

Related Articles