HabariMilele FmSwahili

Wafuasi wa ODM wavamia makao makuu ya chama hicho

chama hicho wakitaka kuvunjiliwa mbali kwa bodi ya uchaguzi ya chama hicho.Vijana hao wanashinikiza kuandaliwa kwa uchaguzi huru na haki kaunti ya Nairobi.
Hayo yakiji, Kiongozi wa upinzani Raila Odinga anawaongoza wabunge na maseneta wa mrengo wa CORD katika mkutano wa kuangazia mafanikio ya muungano huo.Mkutano huo unaondaliwa Naivasha pia unaangazia mikakati ya mrengo huo tayari kwa uchaguzi mkuu ujao.

Show More

Related Articles