BurudaniMilele FmSwahili

Radio Deejay of Year DJ Slim 254

Deejay Slim254 wa milele fm atuzwa kama dj bora katika kundi la radio deejay of the year.

IMG_20150907_120534

DJ Slim wa Milele FM aliwapiku
A. DJ Chris – Baraka FM
B. DJ Elonn – Pwani FM
C. DJ Tupak – PiliPili FM
D. DJ Gitts – Radio Maisha
E. DJ Ace – Bahari FM
Dj slim amewarudishia shukurani za dhati wale wote waliomwezesha kushinda katika shindano hilo. Hii hapa ujumbe wake alioandika katika mtandao wa twitter
Screen Shot 2015-09-07 at 1.48.28 PM

Screen Shot 2015-09-07 at 1.46.08 PM

Show More

Related Articles