HabariMilele FmSwahili

Walimu wakaidi agizo la kurejea kazini

Walimu kote nchini wamekaidi agizo la kurejea kazini leo na kushiriki maandamano ya amani.Hapa Nairobi waalimu hao wakiongozwa na katibu mkuu Wilson Sossion wameapa hawatarejea kazini hadi pale serikali itakapowapa nyongeza ya asilimia 50 hadi 60 ya mishahara yao kama ilivyoagiza mahakama ya viwanda.
Sossion sasa amewataka Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto kuzungumzia swala hilo haraka

Show More

Related Articles