HabariMilele FmSwahili

Watu 3 wafariki kwenye ajali Naivasha

Watu watatu miongoni wamefariki baada ya kuhusika katika ajali mbaya ya barabarabi kwenye barabara kuu ya Naivasha kuelekea Mai Mahiu. Ajali hiyo iliyofanyika karibu na kituo cha polisi cha Longonot imehusisha gari mmoja ndogo na trailer 2. OCPD wa Naivasha Titus Munyoki anasema uchunguzi umeazishwa kubaini chanzo cha ajali hiyo huku watu 2 waliosalia na majeraha wakilazwa katika hospitali ya Naivasha.

Show More

Related Articles