HabariMilele FmSwahili

Kenya kuungana na ulimwengu kuadhimisha siku ya kusoma na kuandika

Kenya itaungana na ulimwengu kuadhimisha siku ya kujua kusoma na kuandika kesho.Shirika la umoja wa mataifa linalohusika na masuala ya masomo UNESCO limesema wakenya karibu milioni 7.8 walio kati ya miaka 15 hadi 24 hawajui kusoma na kuandika.Idadi hii ni kubwa sana ikizingatia serikali imetangaza masomo bila elimu.washikadau wanashinikiza kutolewa uhamaisisho zaidi kwa wakenya kuwapeleka wanao shuleni.

Show More

Related Articles