HabariMilele FmSwahili

Mtu 1 afariki baada ya kuporomoka kwa jumba Rongai

Shughuli za uokoaji zinaendelea baada ya kuporomoka kwa jumba katika mtaa wa Ong’ata Rongai mapema leo.Mtu mmoja amefariki wakati wa mkasa huo huku wengine wanne wakiwa hajulikani waliko.Baada ya kufunikwa na vifusi vya jumba hilo.

Show More

Related Articles