HabariMilele FmSwahili

Hali ya taharuki yatanda baada ya mzozo wa ardhi Gilgil

Hali ya taharuki imetanda huko Gilgil baada ya wenyeji wanaoishi katika kipande cha ardhi kinachozozaniwa cha Kamathatha kukabiliana vikali na kundi linalodaiwa kutumwa na mbwenyenye mmoja anayedai kuwa mmiliki wa kipande hicho. Imewabidi maafisa wa kukabiliana na ghasia kuingilia kati hali hiyo baada ya wenyeji hao kutishia kuiteketeza ardhi hiyo.

Show More

Related Articles