HabariMilele FmSwahili

Mwanamme amjeruhi mkewe baada ya mamake kumyima shilingi 20

Polisi huko Luanda, kaunti ya Vihiga wanamsaka mwanamme anayedaiwa kumjeruhi mkewe kwa kisu kabla ya kuteketeza nyumba yake. Kwa mujibu wa naibu chifu wa eneo hilo Agnes Marenje mwanamme huyo anakisiwa kutekeleza unyama huo baada ya mamake kumnyima shilingi 20 za kununu sigara.

Show More

Related Articles