BurudaniMaarufu zaidiMilele FmSwahili

Massawe Japanni:Kipenzi cha mashabiki wa idhaa ya Milele

Massawe Japanni si jina geni, ni mtangazaji wa kike ambaye hushabikiwa sana kutokana na kicheko chake cha kutamanisha si mitamboni na vile vile sauti yake anaponena. Kwenye makala ya sauti tajika . Kwa sasa utampata Masaawe Japani mitamboni kuanzia saa tisa jioni hadi saa moja jioni kwenye #mileledive akimshirikisha Cleopas Awinja.

Show More

Related Articles