HabariMilele FmSwahili

Cord yapinga uteuzi wa naibu inspekta Joel Kitili

Muungano wa CORD umelaani vikali hatua ya rais Uhuru Kenyatta kumteuwa naibu insketa wa polisi Joel Kitili wakisema ni afisi huru na kuwa rais hana mamlaka ya kufanya uteuzi huo. CORD sasa inatishia kuelekea mahakamani kupinga uteuzi huo ikisema ni kinyume cha katiba. Kando na hayo mrengo huo umewamsuta rais kwa kukosa kutilia maanani usawa wa jinsia kwa dai nafasi hiyo inafaa kupewa mtu wa kike ili kuhakikisha nafasi hizo za uongozi wa polisi zinazingatia usawa huo. John Mbadi ni mwenyekiti wa ODM.

Show More

Related Articles