HabariMilele FmSwahili

KNUT yatangaza rasmi mgomo wa walimu

Chama cha walimu nchini KNUT kimewataka wanafunzi na walimu kusalia nyumbani, baada ya chama hicho kutangaza rasmi kuuanza kwa mgomo wa walimu kote nchini. Katibu mkuu Wilson Sossion anasema serikali inafedha za kutosha za kugharamia nyongeza ya asilimia 50-60 kama ilviyoagizwa na mahakama. Anasema wakenya hawastahili kutozwa ushuru zaidi ili serikali kuwapa walimu nyongeza hiyo na kusema serikali ina fedha za kutosha.

Show More

Related Articles