HabariMilele FmSwahili

Washukiwa 100 wa kundi la Gaza na Mungiki wakamatwa na polisi

Zaidi ya washukiwa 100 wa kundi la gaza na Mungiki wanazuiliwa na maafisa wa polisi mtaani Kayole hapa jijini baada ya kukamatwa kufuatia oparesheni kali iliyoendeshwa usiku wa kuamkia leo.Baadhi ya vifaa vya kutoa mafunzo ya polisi na vitabu vya kukusanya fedha vilinaswa kutoka kwao.OCPD wa Kayole Ali Nuno anasema washukiwa hao wanachunguzwa kabla ya kufikishwa mahakamani.

Show More

Related Articles