HabariMilele FmSwahili

Polisi ambaka msichana mlemavu Kipkelion

Afisa wa polisi anayehudumu katika kambi ya Lesirwa eneo la Kipkelion ameenda mafichoni baada ya kumbaka msichana mlemavu katika nyumba yake. Polisi huyo anadaiwa kuenda mafichoni baada ya raia wenye ghadhabu kuvamia kambi hiyo kwa lengo la kumwadhibu kutokana na kitendo hicho. OCPD Samuel Anampiu amewahakikishia wenyeji kuwa hatua zitachukuliwa dhidi ya afisa huyo anayetambuliwa kama Constable Korir.

Show More

Related Articles