HabariMilele FmSwahili

Serikali kupunguza karo ya shule ya masomo ya ubaharia

Serikali imepunguza karo ya shule ya masomo ya ubaharia katika chuo cha Bandari kutoka shilingi elfu 70 hadi 35. Rais Uhuru Kenyatta anasema uamuazi huo umeafikiwa kama njia moja ya kukabiliana na ukosefu wa ajira.Akizungumza katika soko la Marikiti mjini Mombasa Uhuru amewataka vijana kujihusisha na miradi ya maendeleo kwa lengo la kuimarisha uchumi wa taifa hili.

Show More

Related Articles