HabariMilele FmSwahili

Maskwota Laikipia wamewashtumu polisi kwa kuwanyanyasa

Maskwota katika eneo la Kimungandura eneo la Laikipia wamewashtumu maafisa wa polisi kwa kuwanyanyasa.Wanadai kuwa wakuu wa maafisa wa polisi wa utawala na wale wa kawaida wamekuwa wakizuru eneo hilo kwa lengo la kuwanyanyasa na kutishia kuwatimua.Kaunti kamishna wa Laikipia Wilson Wanyanga amewataka kusalia watulivu huku uchunguzi ukiendelea.

Show More

Related Articles