HabariMilele FmSwahili

Raila atoa wito wa kuwepo umoja kati ya watu wa jamii ya Luo

Kinara wa CORD Raila Odinga ametoa wito wa kuwepo umoja kati ya watu wa jamii ya Luo ili kuafikia maendeleo.Akiongea akiwa nyumbani kwa aliyekuwa mwenyekiti wa baraza la wazee waluo Riaga Ogallo, Raila amewataka wazee wa jamii hiyo pia kudumisha umoja ili kuwepo amani hasa baada ya kifo cha Riaga.Amewatahadharisha dhidi ya migawanyiko ya kisiasa ambayo inaweza kuyumbisha baraza hilo na jamii ya waluo kwa jumla.

Show More

Related Articles