HabariMilele FmSwahili

Wanaojihusisha na ulanguzi wa mihadarati wapewa wiki 2 kujisalimisha

Shirika la kukabiliana na mihadarati nchini NACADA limetoa makataa ya wiki mbili kwa wale wanaojihusisha na ulanguzi wa mihadarati kujisalimisha.Mwenyekiti John Mututho amesema kuwa serikali ina taarifa kamili za wale wanaojihusisha na shughuli hizo nchini.Amewataka wakenya kushirikiana na serikali ili kukabiliana na wale wanaoendeleza shughuli hiyo humu nchini

Show More

Related Articles