HabariMilele FmSwahili

Watu 40 wanaswa katika oparesheni inayoendeshwa kukabiliana na dawa za kulevya

Watu 40 wamenaswa katika oparesheni inayoendeshwa kukabiliana na ulanguzi na mihadarati eneo la pwani jinsi ilivyoagizwa na Rais Uhuru Kenyatta.Misokoto 34 ya bangi pamoja na paketi 52 za heroin pia zilipatikana katika oparesheni hiyo.washukiwa hao wamenaswa katika maeneo ya portreiz ,chaani,mikindani,miritini na changamwe huku ocpd wa changamwe joseph muthee akihoji kuwa watafikishwa mahakamani hii leo.

Show More

Related Articles