HabariMilele FmSwahili

Wakenya 420,000 wafariki katika hospitali za umma

Idadi ya wakenya wanaofariki wakipokea matibabu katika hospitali za umma imeongezeka mara dufu katika muda wa miaka miwili tangu kuidhinishwa kwa katiba mpya.Twakimu kutoka muungano wa madaktari KMPDU unaonyesha wakenya 420,000 wamefariki mwaka jana hali ambayo imechangiwa zaidi na migomo ya wahudumu wa afya.Ni takwimu zilizotolewa huku muungano huo kupitia katibu dr. Oluga Ouma Kuapa kushiriki mgomo kuitaka serikali kuangazia lalama zao.

Show More

Related Articles