HabariMilele FmSwahili

Libya: Mamia ya watu wahofiwa kuzama majini Zuwara

Mamia ya watu wanahofia kufariki baada ya boti mbili zilizowabeba zaidi ya wahamiaji 500 kuzama katika mji mkuu Zuwara. Boti ya kwanza iliyokuwa na zaidi ya wahamiaji 50 ilizama kabla ya nyingine ya pili iliyokuwa na zaidi ya watu 400. Maafisa nchini humo wanadai kufikia sasa watu 201 wameokolewa huku shughuli za kuwasaka wengine zikiendelea.

Show More

Related Articles