HabariMilele FmSwahili

Nigeria yaadhimisha siku 500 tangu wasichana wa shule kutekwa nyara na Boko Haram

Jamaa za watoto wasichana wa shule waliotekwa nyara na wanamgambo wa Boko Haram nchini Nigeria wameadhimisha siku mia tano tangu kutoweka kwa wasichana hao huku juhudi za kuwanusuru zikiendelea kutekelezwa.Hayo yanajiri huku utovu wa usalama ukiendelea kushuhudiwa nchini humo baada ya wanamgambo hao kuwauwa watu wengi tangu kuapishwa kwa rais muhammadu buhari mwezi mei mwkaa huu.

Show More

Related Articles