HabariMilele FmSwahili

Barrack Obama aongoza kumbukumbu ya Katrina

Rais wa Marekani Barack Obama imehudhuria hafla ya kumbukumbu uharibifu katika mji wa New Orleans uliosababishwa na kimbunga Katrina miaka kumi iliyopita.
Katika hotuba yake kile kilichoanza kama maafa ya asilli yamekuwa maafa yaliyotengenezwa na binadamu ambapo serikali ilishindindwa kuwaangalia raia wake.
Nyumba nyingi zilizokumbwa na mafuriko kwa wakati huo zilikua za udongo mwepesi na ni vitongoji vya watu weusi maskini kwenye mji huo.
Screen Shot 2015-08-28 at 8.21.38 AM
Zaidi ya watu elfu moja na mia nane walifariki katika maafa hayo ambayo ni mabaya kutokea tangu mwaka 1928 na kusababisha uharibifu mkubwa katika pwani ya Ghuba kutoka Florida na Texas.Mji huo amboa uliharibiwa na mwafuriko halijai rudu vile ilivyo kuwa kitambo.

Show More

Related Articles