HabariMilele FmSwahili

Mutunga Atakiwa kuchunguza madai ya ufisadi kwenye mahakama kuu

wito umetolewa kwa jaji mkuu dkt Willy Mutunga kuchunguza madai ya ufisadi yanayohusishwa na mahakama kuu.Kwenye waraka kutoka kwa kundi angalizi la haki kwa jina Kenyans For Clean Justice, Lindai Kunao watu ambao wanadaiwa kuwahonga majaji wa mahakama hiyo ili kutoa uamuzi unaowapendelea baada yao kuhojiwa kuwa na mpango wa kupata kandarasi kwenye ujenzi wa soko la kisasa la tatu.Mwenyekiti wa kundi hilo Wilfred Gitonga anasema tayari jaji mmoja amekwisha pokea hongo ya milioni 50 ili kutoa uamuzi unaowafaa

Show More

Related Articles