HabariMilele FmSwahili

Wakenya kuanza kutumia leseni za kidijitali za kuendesha magari

Wakenya wataanza kutumia leseni za kidijitali za kuendsha magari mwaka ujao.Mamlaka ya uchukuzi barabarani NTSA inasema kuwa mpango huo ni kuhakikisha kunashuhudia usalama na umakini barabarani.Inasema itakuwa rahisi kuwatia mbaroni wanakiuka sheria za trafiki kwani wataweza kubainika mara moja.

Show More

Related Articles