HabariMilele FmSwahili

Watu 2 wahukumiwa kifungo cha maisha Narok

Mahakama ya Narok imewahukumu kifungo cha maisha au faini ya shilingi milioni 60 na 40 watuhumiwa wawili wa ulanguzi wa pembe za ndovu.Wawili hao Tiapukel Kuyioni na Munyao Nzusyo wanatuhumiwa pia kwa kumiliki na kuzua pembe hizo zenye tahamani ya shilingi milioni 1 nukta 8.

Show More

Related Articles