HabariMilele FmSwahili

Kenya kuadhimisha miaka 5 tangu kuidhinishwa katiba

Kenya hivi leo inaadhimisha miaka 5 tangu kuidhinishwa katiba.Hata hivyo mabadiliko zaidi katika katiba hiyo yametajwa kama changamoto kuu inayoandama utekelezaji wake.Nyingi za taasisi hata hivyo zinahisi kumekua mageuzi tosha katika taasisi za umma japo safari ya kutafuta matunda yake ingali mabli.Na yakijiri hayo kumeibukia maswali mengi kuhusu kujitolea kwa bunge kutekeleza katiba haswa baada ya kuongeza muda wa utekelezaji wake kwa mwaka mmoja.Tume tekelezi ya katiba inatarajiwa kuongoza taifa katika maadhimisho hayo huko kisii, kwa kuweka bayana ripoti yake kuhusu utekelezaji katiba na vile vile utathmini wa mfumo wa ugatuzi.

Show More

Related Articles