HabariMilele FmSwahili

Vijana wanaohusishwa na visa vya ugaidi wako wapi?

Viongozi wa dini ya kiislamu nchini wanalalamikia kutoweka kwa idadikubwa ya vijana wanaohusishwa na visa vya ugaidi.Wakiongozwa na Abdulahi Abdi viongozi hao wanasema huenda vijana hao wanauwawa na maafisa wa usalama kwa kisingizio cha kukabili ugaidi.Wanaitaka serikali kuchukua hatua haraka na kuhakikisha uchunguzi unaendeshwa kabla ya watuhumiwa wa matukio ya kigaidi kuchukuliwa hatua.

Show More

Related Articles