HabariMilele FmSwahili

Kaimenyi: Shule za umma kuajiri wanasaikolojia

Waziri wa elimu prof Jacob Kaimenyi amezitaka shule zote za umma kuwaajiri wanasaikolojia watakaowasaida wanafunzi kukabiliana na changamoto ya matumizi ya dawa za kulevya. Amesikitikia kuongeza visa hivyo sawa na vile vya kushawishiwa kwao kujiunga na makundi mbalimbali ya kigaidi. Anasema wataalam hawa watakuwa na manufaa kubwa kwa kutoa ushauri.

Show More

Related Articles