HabariMilele FmSwahili

Tanzania: Mwanamuziki atoa wito wa kuwalinda watu wenye ulemavu wa ngozi

Mwanamuziki mkongwe nchini Afrika Salif Keita ametoa wito wa kulindwa kwa watu wenye ulemavu wa ngozi [albino] nchini Tanzania. Hayo yanajiri huku kampeini za uchaguzi mkuu zikizidi kuchacha na kuibuka hofu huenda visa vya ushirikina vikakithiri. Serikali ya nchi hiyo hapo awali iliwatia mbaroni waganga 32 kwa shutma za kuwauwa albino.

Show More

Related Articles