MichezoMilele FmSwahili

Mwangangi, kiplagat na Soi wafuzu fainali ya mbio za mita 5000

Wakenya Caleb Mwangangi Ndiku, Isah Kiplagat Koech na Edwin Soi wafuzu fainali ya mbio za mita 5000 mapema asubuhi ya leo, baada ya kustahimili changamoto kali toka wanariadha pinzani, hata hivyo Emmanuel Kipsang hatowakilisha taifa katika fainali hiyo .Mzaliwa wa Mogadishu Somalia na sasa raia wa uingereza mwanariadha Mo Fara anatarajiwa kutoa upinzani mkali, upinzani ambao wakenya wanasema wako tayari kukabiliana nao katika fainali,huyu hapa Caleb Mwangangi akizungumza nasi awali kuhusu mbinu ya kenya.

Show More

Related Articles