HabariMilele FmSwahili

NCIC imetoa wito kwa walimu kusaidia kukabiliana na ukabila

Tume ya uwiano na utangamano wa kitaifa NCIC imetoa wito kwa walimu kusaidia kukabiliana na ukabila uliokithiri katika taasisi za mafunzo. Lillian Nyamu kutoka tume hiyo anawashauri walimu kutoa mafunzo ya kuhimiza utangamano katika taasisi hizo.Wakati huo huo tume hiyo leo inakutana na wakuu wa dini ili kuhimiza uwiano nchini

Show More

Related Articles