HabariMilele FmSwahili

Rais Mugabe ahutubia taifa bungeni baada ya miaka 8

Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amehutubia taifa kwenye bunge la Zimbabwe, miaka 8 tangu kutoa hotuba kama hiyo. Rais Mugabe amesisitiza kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na nchi za magharibi baada ya kushuhudia uhusiano mbaya kwa zaidi ya miaka 10 iliyopita. Ameongeza kuwa nchi hiyo inakumbatia uwekezaji kutoka nchi za magharibi.

Show More

Related Articles