HabariMilele FmSwahili

TSC imeitisha mkutano na wakuu wa chama cha KNUT

Tume ya kuwajiri walimu nchini TSC imeitisha mkutano na wakuu wa chama cha KNUT kuzungumzia swala tata la nyongeza ya mshahara.Hiyo ni baada ya serikali kudai hapo jana kuwa haina fedha za kutosha kugharamia nyongeza ya kati ya asilimia 50-60 ya walimu kama ilivyoagizwa na mahakama ya viwanda.Aidha KNUT inashikilia kuwa mgomo wa septemba mosi ungalipo hadi pale agizo hilo litatimizwa

Show More

Related Articles