BurudaniSwahili

Mziki Umekua Mgumu Akiri Msanii Kidis.

Msanii Kidis kutoka kanda ya pwani ambaye alivuma na kibao cha kamua leo amedai music career yake imekuwa better baada ya kuachana na Grandpa records huku akiongezea mziki umekuwa mgumu sana kwani hata maDJs,maproducer na hata mapresenter siku hizi wanaimba so nani atacheza mziki wako kama msanii.
Kidis ambaye kwa sasa anatamba na pini lake jipya Viroboto, ambalo linaelezea maisha ya jamaa ambaye akasafiri kwenda Dubai kusaka hela na mkewe kamuacha mitaani bt kuna majamaa wanaomfatilia ambao kwenye nyimbo hii Kidis amewabatiza viroboto ambao wanapenda kufatilia mambo ya wengine, aliongeza kusema sasa yuko free kufanya mziki wake katika production yoyote.

Show More

Related Articles